.
9th September, 2020
Makachero wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC wamefanya msako wa ghafla mapema jumatano kwenye afisi za halmashauri ya kusambaza dawa nchini KEMSA. Kemsa imedhibitisha kutembelewa na EACC wakikusanya stakabadhi zikiwemo zile za kompyuta kwenye mchakato wa uchunguzi.