2nd September, 2020
Gavana wa Migori Okoth Obado ni kiongozi mkimwa asiyesema sana na ambaye kuibuka kwake ghafla kisiasa huenda kukawa sawa na kuteremka kwake ghafla vile vile iwapo masaibu yanayomzonga kwa sasa yatamwendea mrama.misimu ya tatu ya 2017, 2018 na sasa 2020 yaonekana kuwa ndo vipindi ambavyo huenda vikavuriga nyota yake ya uongozi ikiwa mawimbi yanamkabili yanaashiria chochote kile. Lakini je, Obado ni nani? Alichomoka kutoka wapi?