×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Pamela Odhiambo awasuta viongozi wa siasa kwa kuingiza siasa katika vita dhidi ya Ufisadi

2nd September, 2020

Mwakilishi wa kike wa Migori Pamela Odhiambo amewasuta viongozi wa siasa kwa kuingiza siasa katika vita dhidi ya Ufisadi. Pamela amesema kuiwa lengo la wanasisasa wa aina hiyo ni kufunika maovu ya wendani wao.. Aidha aliongeza akuwa waliotajwa katika sakata ya Kemsa  na zingine nchini wajilaumu wenyewe. Matamshi yake yanajiri siku moja bada ya Gavana wa Migori Okoth Obado kufikisha mahakamani yeye na watoto wake 4 kutokana na amdai ya ufujaji wa pesa za kaunti zipatazo shilingi milioni 73.

.
RELATED VIDEOS