.
2nd September, 2020
Eneo la Magharibi limeanza kuzamia Ufugaji Wa Samaki ili kukidhi soko kubwa la Samaki hususan kutokana na kupungua kwa samaki katika Ziwa Victoria ikiwabidi wafanyabishara kuagiza samaki kutoka Uganda. Kaunti ya Vihiga imepanua kituo cha mafunzo cha Mwitoko, ambacho ni cha uzalishaji na usambazaji wa Samaki wadogo kwa wakulimu wanaochipuka