×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana Obado ajiwasilisha kwa EACC kutokana na kesi ya ufisadi

26th August, 2020

Naibu mkuu wa Chuo Kikuu cha Maasai Mara Prof Mary Walingo na washukiwa wengine wanne wameachiliwa kwa dhamana ya shilingi Milioni Ishirini kila mmoja au mdhamini wa shilingi milioni kumi kila mmoja. Watano hao wameshtakiwa kwa makosa ya Uhalifu wa Kiuchumi baada ya kutumia bila maelezo shilingi milioni 177. Wakati huo huo Gavana wa Migori Zachary Okoth Obado pamoja na wanawe wanne wamezuiliwa na Polisi wakisubiri kufikishwa mahakamani hapo kesho kwa Tuhuma za Ufisadi.

.
RELATED VIDEOS