x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kamati wa Maseneta 12, sasa yafikiana kuhusu ugavi wa Fedha za Kaunti

26, Aug 2020

Kamati ya maseneta kumi na wawili iliyobuniwa kutafuta mwafaka kuhusu suala tata la Ugavi wa Fedha za Kaunti imetangaza maafikiano kuhusu ugavi huo. Kamati hiyo inayoongozwa na seneta wa bungoma moses wetangula pamoja na mwenzake wa Nairobi Johnson Sakaja itawasilisha ripoti ya majadiliano yao yaliyochukua zaidi ya wiki moja kwa uongozi wa Bunge la Seneti hapo kesho

RELATED VIDEOS


Feedback