.
21st August, 2020
Migogoro Ya Familia Na Uhasama Baina Ya Baba Na Wanawe, Imesababisha Familia Moja Huko Machakos Ambayo, Licha Ya Kuwa Na Mali Chungu Nzima, Inaishi Maisha Ya Kutamausha. Anthony Mwenga Mavua, Aliye Na Umri Wa Miaka Sabini Na Mitatu, Anasema Japo Anamiliki Mali Yenye Thamani Ya Zaidi Ya Shilingi Milioni Mia Mbili, Uhasama Baina Yake, Wanawe Na Marehemu Mkewe, Umewafanya Waishi Kwa Kubahatisha, Kutokana Na Msururu Wa Kesi Nyingi Mahakamani.