x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Viongozi wa ODM wafanya Kikao Homa Bay kuzungumzia nyadhfa za chama hicho

21, Aug 2020

Viongozi Wa Chama Cha Odm Kutoka Katika Kaunti Ya Homabay Wamefanya Mkutano Hii Wa Kustawisha Chama Hicho Na Kujaza Baadhi Ya Nafasi Ambazo Zilikuwa Wazi. Mkutano Huo Ambao Uliongozwa Na Mwakilishi Wa Kike Wa Homabay Gladys Wanga Pia Umeitaka Kamati Maalum Iliyobuniwa Kutatua Suala La Ugavi Wa Fedha Kuwajibika Mara Moja Ili Kaunti Zipate Migao Yao. Kadhalika Wamewataka Wawakilishi Wodi Wa Homabay Kuendesha Vikao Vyao Bila Fujo.

POPULAR NEWS VIDEOS


Feedback