x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Uhuru ahimiza maelewano ya wahusika kuhusu Ugavi wa Mapato

21, Aug 2020

Huku Mjadala Kuhusu Ugavi Wa Mapato Katika Kaunti Ukiendelea, Rais Uhuru Kenyatta Na Naibu Wake, William Ruto, Wametoa Kauli Zao. Akizungumza Jijini Nairobi Alipoongoza Shughuli Ya Kutoa Hatimiliki Kwa Wamiliki Wa Mashamba Kwenye Ardhi Pana Ya Embakasi Ranch, Rais Uhuru Kenyatta Alihimiza Masikizano Yaliyojikita Katika Usawa. Naye Naibu Wa Rais Akiwa Na Kikao Na Viongozi Kutoka Trans?Nzoia Nyumbani Kwake Sugoi, Alikariri Haja Ya Haki Na Usawa Kwenye Mchakato Mzima.

Feedback