.
21st August, 2020
Polisi Mapema Leo Wamewatawanya Wanaharakati Waliokuwa Wakiandamana Hapa Nairobi Kulalamikia Madai Ya Ufisadi Ambayo Yamesheheni Kuhusiana Na Matumizi Ya Fedha Za Korona. Maandamano Hayo Yalihusisha Mashirika Ya Kijamii Ya 'Buyer Beware' Na 'Kenya Tuitakayo' Yaliyokuwa Yakipaz Sauti Kupinga Kinachosemekana Na Ubadhirifu Wa Mabilioni Ya Pesa Za Kusaidia Kupambana Na Janga La Korona. Kulikuwa Na Hali Ya Mguu Niponye Huku Polsi Wakitumia Vitoza Machozi Kuwatawanya.