x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Gavana Mutahi Kahiga atakiwa kuelezea namna fedha za korona zilivyotumika

19, Aug 2020

Gavana Wa Kaunti Ya Nyeri Mutahi Kahiga, Ametakiwa Kuchukua Hatua Ili Kuhakikisha Jumla Ya Shilingi Milioni 153 Zilizotengwa Kupambana Na Janga La Korona Zimetumiwa Ipasavyo.  Ni Baada Ya Bunge La Kaunti Hiyo, Kuidhinisha Ripoti Iliyoashiria Kuwa Nyeri Haina Uwezo Wowote Wa Kuwasaidia Wagonjwa Mahututi Wa Korona. Aidha Kamati Hiyo Pia Imezua Maswali Kuhusu Vilipo Vifaa Vya Kujikinga Yani Ppes Vilivyonunuliwa Na Vingine Vilivyokuwa Vya Msaada Kutoka Kwa Wahisani. Wakati Uo Huo Naibu Gavana Dkt. Caroline Karugu, Amesema Ni Gavana Tu Anayeweza Kueleza Vilipo Vifaa Vyenyewe.

Feedback