19th August, 2020
Mamlaka Ya Taifa Ya Kusimamia Kufuzu Na Hitimu Za Taaluma, Knqa, Imezindua Sera Maalum Kuhusu Mafunzo Ya Ufundi, Itakayowawezesha Watu Wasiokuwa Na Elimu Ya Juu Au Chuoni Ilihali Wanafanya Kazi Za Mikono Kupata Vyeti, Stashahada Na Shahada.