.
19th August, 2020
Idadi Ya Vifo Vya Korona Nchini Sasa Imepita 500 Baada Ya Wagonjwa Wengine 19 Kufariki Kwa Kipindi Cha Saa 24 Zilizopita. Aidha, Visa Vipya 379 Vya Maambukizi Ya Korona Vimethibitishwa Kwa Kipindi Hicho. Hayo Yakiarifiwa, Wizara Ya Afya Pia Inasema Imekua Vigumu Kuwapata Wale Waliotangamana Na Walioambukizwa Virusi Hivi Huku Ikisisitiza Kuwa Kenya Bado Iko Kwenye Hatari Licha Ya Kupungua Kwa Visa Vya Maambukizi Vinavyoripotiwa. Vita Dhidi Ya Korona Nakuru Huenda Vikalemazwa Baada Ya Madaktari Kutoa Vitisho Vya Kugoma