x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Watu watatu wateketea hadi kufa Funyula huku mtoto wa miaka mitatu akiokolewa

13, Aug 2020

Watu watatu wameteketea hadi kufa huku mtoto wa miaka mitatu akiokolewa akiwa na majeraha mabaya ya moto katika kijiji cha Munyanja eneo bunge la Funyula kaunti ya Busia baada ya nyumba walimokuwa wamelala kuteketezwa usiku wa kuamkia leo. Inadaiwa nyumba hiyo iliwashwa moto na mshukiwa mmoja baada ya kukataliwa na mpenziwe aliyekuwa amemrithi baada ya kifo cha mke wake.

Feedback