x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Raila Odinga asema sharti kura ya maamuzi ifanywe kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2022.

13, Aug 2020

Kiongozi wa ODM raila odinga amesema sharti kura ya maamuzi ifanywe kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2022. Raila amesema kampeini za kupigia upato mapendekezo kwenye ripoti ya BBI itazinduliwa tena hivi karibuni pindi tu kiwango cha maambukizi ya virusi vya korona kitakapopungua nchini. Mojawapo ya mapendekezo yanayotarajiwa kwa hamu na wanasiasa ni kubuniwa kwa nyadhifa zaidi za uongozi ikiwemo wadhifa wa waziri mkuu mwenye mamlaka, pamoja na kuongeza mgao wa pesa mashinani hadi asilimia thelathini na tano.

POPULAR NEWS VIDEOS


Feedback