×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Bunge la Kakamega: Kiongozi wa walio wachache atimuliwa baada ya wawakilishi wadi kupiga kura

17th June, 2020

Kwa kauli moja wawakilishi wodi wa kaunti ya kakamega

        wamemtimua kiongozi wa wachache bungeni ambaye ni

        mwakilishi wa chama cha anc david ndakwa na kutoa amri

        kuwa vyama vyote vya nasa vipo katika upande wa walio

        wengi bungeni. Katika kikao cha leo bungeni wawakilishi

        wadi hao wameamua kuwa chama cha udp ndicho

        kitakachoongoza upande wa wachache bungeni. Wawakilishi

        wadi hao wakijitenga na madai kuwa walifanya hivyo kwa

        kuwa mwakilishi wadi huyo amekuwa anapinga muungano

        mpya unaoongozwa na gavana wycliffe oparanya na waziri

        eugine wamalwa.

.
RELATED VIDEOS