×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watoto wapotea Athi River: Polisi yachunguza kupotea kwa watoto, walionekana mwisho wakicheza nje

17th June, 2020

Polisi inachunguza ripoti ya kupotea kwa watoto wawili  katika eneo la athi river kaunti ya machakos. Familia zinadai  kuwa watoto wawili wa miaka mitatu na minne mtawalia  walionekana mwisho wakiwa wanacheza na wenzao nje nyumbani kwao. Mwanahabari wetu sirajurahman abdullahi alikuwa eneo hilo nakutuandalia taarifa ifuatayo.

 

 

.
RELATED VIDEOS