x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mpaka wa Namanga: Madereva washurutishwa kupimwa kwanza baada ya serikali kufungua mpaka wa Namanga

17, Jun 2020

        Ni afueni kwa wafanyabiashara wanaotumia kivuko cha         mpaka wa namanga, baada ya waziri wa jumuiya ya afrika         mashariki aden mohammed kuufungua mpaka wa namanga na         kuwaruhusu wafanyibiashara wa mataifa hayo kuendelea na         biashara zao                     ni majuma mawili hivi tangu mpaka huo kufungwa katika         kudhibiti maambukizi ya virusi vya korona na waziri         mohammed wameafikiana na upande wa tanzania kuufungua         mpaka huo huku madereva wakipimwa kabla ya kuingia au         kutoka upande mwengine. Awali, madereva wa masafa         marefu kutoka nchi jirani ya tanzania na ambao hapo mbeleni         walikuwa wanakataa kupimiwa humu nchini, sasa wamekubali         kuwa wakipimiwa humu nchini bila tashwishi yoyote  

Feedback