.
17th June, 2020
Gavana wa kaunti ya kwale salim mvurya amekosa kufika mbele ya bunge la kaunti hiyo na kuomba mda zaidi kujibu maswala waliotaka wabunge kuhusiana na mapendekezo ya bajeti ya shilingi milioni 160 iliofaa kuwakinga wakwale dhidi ya baa la njaa wakati huu wa maambukizi ya korona. Na kama anavyoripoti mwanahabari wetu wa ukanda wa pwani tobias chanji wawakilishi wadi hao vilevile wamesema kuwa hawana hoja yoyote ya kumfurusha mvurya afisini