.
17th June, 2020
Kinara wa chama cha wiper kalonzo musyoka amesema chama hicho kinapania kujiondoa kwenye muungano wa nasa na kushirikiana rasmi na chama cha jubilee kwa matayarisho ya uchaguzi mkuu ujao. Chama cha wiper na chama cha mashinani vimetia saini maafikiano ya ushirikiano na chama tawala cha jubilee . Geff kirui na maelezo zaidi.