×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Lonyangapuo Mashakani: Lonyangapuo aonywa na chama cha KANU dhidi ya kuvuruga sera za chama

12th June, 2020

Kamati ya nidhamu ya chama cha kanu imemuonya gavana wa

        pokot magharibi prof john lonyangapuo dhidi ya kuvuruga

        sera za chama. Kamati hiyo inayosimamiwa na aliyekuwa

        seneta maalum zipporah kittony imesema ni makosa kwa

        gavana huyo kuchochea waakilishi wadi 15 wa chama hicho

        wanaokabiliwa na shutma za kinidhamu kupuuza kufika mbele

        ya kamati hiyo. Inadaiwa lonyangapuo aliwashauri waakilishi

        hao, 12 kutoka pokot magharibi na 3 kutoka baringo

        kutoheshimu wito wa kufika mbele ya kamati hiyo baada ya

        kuripotiwa kwenda kinyume cha katiba ya chama.

 

 

 

.
RELATED VIDEOS