x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Hoja Ya Atwoli: Atwoli asema asihusishwe na FORD-Kenya baada ya mrengo wa Wetangula kumlaumu

10, Jun 2020

        Katibu mkuu wa muungano wa cotu francis atwoli         amejitenga na madai kuwa alihusika kwenye kung`atuliwa         kwa seneta wa bungoma moses wetangula kama kinara wa         chama cha ford kenya.  Mbunge wa tongaren eseli simiyu na         mwenzake wa kanduyi wafula wamunyinyi walifanya         mapinduzi chamani ford kenya , ambapo kidole cha lawama         kilielekezwa kwa  atwoli ambaye kabla ya mapinduzi hayo         alikuwa amekutana na wanasiasa takriban 40 kutoka eneo la         magharibi.  

Feedback