.
10th June, 2020
Vuta nikuvute baina ya gavana wa kaunti ya kwale salim mvurya na spika wa bunge sammy ruwa kuhusu mapendekezo ya bajeti ya shilingi milioni 160 imeilazimu kaunti hiyo sasa kuwategemea wahisani katika ugawaji wa vyakula na vifaa vya hospitali. Mwanahabari wetu tobias chanji na habari zaidi.