×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Viongozi Njoro wakutana na Raia kujadili wito wa amani sehemu hiyo

3rd June, 2020

Viongozi wa utawala na wa kisiasa katika eneo la njoro kaunti ya nakuru, wameafikiana kuhakikisha amani inadumu katika kijiji cha bondeni katika eneo hilo. Majuma mawili yaliyopita,mzee wa makamo aliuawa kinyama hatua iliyochochea makabiliano baina ya jamii zilizoko eneo hilo. hatahiyvo, wakazi na viongozi wa kisiasa wamewanyooshea maafisa wa usalama kidole cha lawama kwa kile wanachokitaja utepetevu kazini.

.
RELATED VIDEOS