×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Athari za Mafuriko: Kaunti 33 zaathirika na Mafuriko, watu 285 wamefariki nchini

27th May, 2020

 Takriban watu 285 wamefariki nchini kutokana na mafuriko. Waziri wa ugatuzi eugene wamalwa amesema kaunti 33 Zimeathirika na mvua hizo zinazotarajiwa kuendelea Kunyesha hadi mwezi juni. Haya yanajiri huku baadhi ya Magavana wakikosoa serikali kuu kwa kutokuwa makini Kukomesha athari za mafuriko za kila mwaka

.
RELATED VIDEOS