x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakazi wa mji wa Mtwapa wahofia mafuriko kufuatia kutomalizwa kwa mradi wa bomba la maji taka

21, May 2020

Wakazi wa mji wa Mtwapa kaunti ya Kilifi wanaishi kwa hofu ya mafuriko kufwatia kutomalizwa kwa mradi wa bomba la maji taka lililowagharimu walipa ushuru shilingi milioni 270.  Bomba hilo halijakamilishwa kwa zaidi ya miaka minane na baadhi ya wakazi wamepata majeraha kwa kutumbukia ndani.

Feedback