.
21st May, 2020
Polisi wamemtia mbaroni James Kifo Muriuki, mshukiwa anayedaiwa kumdhalilisha mkewe kinyama kando na kumziba sehemu za siri kwa kutumia gundi.
Kifo alikamatwa alipokuwa amemtembelea mganga mmoja katika kaunti ya Kitui kwa kile polisi wamesema kama mbinu ya kuepuka mkono wa sheria