.
20th May, 2020
Maambukizi ya virusi vya korona bila shaka yameathiri maisha
na jinsi binadamu wanavyowasiliana. Kwa sasa inawalazimu
wengi kutumia video za mitandao kuwasiliana. Mwanahabari
wetu wa ukanda wa pwani tobias chanji alitembelea shule
moja ya muziki iliyo na takriban wanafunzi 500 ambao kwa
sasa wanalazimika kuhudhuria masomo yao ya muziki kupitia
mtandao, mtindo wa zoom.