×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kifo Korokoroni: Familia kutoka yataka haki kijana wao aliyefariki korokoroni Nyamira

20th May, 2020

Familia moja katika kaunti ya nyamira inalilia haki baada ya mwana wao mwenye umri wa miaka kumi na saba kufa akiwa korokoroni. Kijana huyo ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya enkinda nyamira kaskazini

.
RELATED VIDEOS