×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Rais Magufuli asema wamezungumza Na Rais Kenyatta kuhusu uhusiano Kati ya Kenya na Tanzania

20th May, 2020

        Rais john magufuli wa tanzania amewataka viongozi wa

        mikoa iliyopo mipakani mwa tanzania pamoja na waziri wa

        uchukuzi nchini humo wakutane na viongozi wa kenya ili

        wazungumze kwa lengo la kuleta muafaka katika malumbano

        yaliyojitokeza kuhusu udhibiti wa homa ya korona. Rais

        magufuli ameyasema hayo aliposimama mkoani singida

        akitokea chato kuelekea dodoma ambapo amesema, rais

        uhuru kenyatta alipompigia simu na kuzungumzia suluhu

        ya homa ya korona, isisababishe mikwaruzo kwani ipo siku

        itapita na maisha lazima yaendelee.

 

.
RELATED VIDEOS