.
29th February, 2020
Kiongozi Wa ODM Raila Odinga Ameongoza Mkutano Wa BBI Katika Uwanja Wa Kinoru Huko Meru Uliohudhuriwa Na Viongozi Tofauti Tofauti Wa Vyama Vya Siasa Akiwemo Gideon Moi, Alfred Mutua, Moses Wetangula, Musalia Mudavadi Miongoni Mwa Wegine. Jamii Za Gema Ziliwasilisha Maazimio Yao Yaliyowasilishwa Kwa Mwenyekiti Wa Jopo Kazi La BBI Yussuf Haji.