x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mzozo wa ardhi waibuka baina ya jamii mbili katika kijiji cha Khuvasali eneo Bunge la Malava

23, Feb 2020

Mzozo Umeibuka Baina Ya Jamii Mbili Katika Kijiji Cha Khuvasali Eneo Bunge La Malava Kufuatia Mtafaruku Kuhusu Mpaka Wa Shamba Huku Pia Jamii Moja Ikiripotiwa Kuiba Mifugo Ya Jamii Nyingine.Wakazi Sasa Wanataka Kuhamishwa Kwa Maafisa Wa Polisi Wa Kituo Cha Khuvasali Kwa Kile Wanachokitaja Kuwa Kuitekeleza Kazi Yao Kwa Mapendeleo. Kulingana Na Wakazi Wa Eneo Hilo, Suala La Mzozo Wa Mpaka Wa Shamba Limepelekea Jamii Ya Kabras Na Kalaenjin Kuzozozana Kwa Muda Mrefu.

Feedback