×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakazi washambuliwa na wezi Kapsoya, mali zao zaibiwa usiku wa kuamkia leo

23rd February, 2020

Watu Kadhaa Wanauguza Majeraha Baada Ya Kushambuliwa Na Wezi Katika Mtaa Wa Kofi Anan Kapsoya Mjini Eldoret Jana Usiku. Wezi Hao Walivunja Milango Na Kuibia Wakazi Mwendo Wa Saa Saba Usiku Huku Mkazi Mmoja Akiachwa Na Majeraha Mabaya Ya Upanga.Kulingana Na Wakazi Wezi Hao Walikua Na Mda Wa Kutosha Kwani Walivamia Nyumba Hadi Nyumba Na Hata Nduru Za Wakazi Hazikuwatisha. Licha Ya Jitihada Zao Kuwafikia Maafisa Wa Polisi, Hakuna Msaada Wowote Uliowafikia Hali Inayowaacha Na Hofu Zaidi. Hadi Sasa Maafisa Wa Polisi Kutoka Kituo Cha Kapsoya, Inaarifiwa Kuwa Bado Hawajafika Kuanzisha Uchunguzi Wao.

.
RELATED VIDEOS