×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Viongozi wa MAA watoa maoni yao katika Mkutano wa BBI Narok

22nd February, 2020

Viongozi Wa Jamii Ya Maasai Wamepinga Pendekezo La Kubuniwa Kwa Ngazi Ya Tatu Ya Uongozi Wa Serikali.  Kinara Wa Odm Raila Odinga Hata Hivo Amesisitiza Kuwa Ni Sharti Katiba Ibadilishwe Kupitia Kura Ya Maamuzi. Ni Baadhi Ya Mapendekezo Yaliyoibuka Kwenye Mkutano Wa BBI Ulioandaliwa Leo Kaunti Ya Narok Ambapo Baadhi Ya Viongozi Kutoka Eneo Hilo Walisusia Kwa Madai Kuwa Walikuwa Wametengwa Katika Maandalizi Ya Mkutano Huo. .

.
RELATED VIDEOS