.
16th February, 2020
Mtu Mmoja Amefariki Mapema Leo Katika Ajali Mbaya Ya Barabarani, Katika Eneo La Lan’gata Hapa Jijini Nairobi Baadaya Gari Lake Kupoteza Mwelekeo Na Kubingiria Mara Kadhaa. Kwingineko Abiria 17 Wameponeachupuchupu Katika Ajali Nyingine Ya Barabarani Eneo La Muranga.