.
9th February, 2020
Jumla Ya Mechi Sita Ziliandaliwa Katika Ligi Ya Mpira Wa Mikono Nchini, Ushindani Mkali Ukishuhudiwa Katika Uwanja Wa Kaloleni Kaunti Ya Nairobi. Katika Mechi Ya Ufunguzi, Wanaume Wa Nys Waliwalaza Wenzao Wa Chuo Kikuu Cha Nairobi Mabao 38?21, Makueni Bees Wakiwatandika Saint Paul’s 37?27 Huku Timu Ya Kina Dada Ya Chuo Kikuu Cha Kenyatta Ikipokea Kichapo Cha 33?11 Dhidi Ya Ulinzi.