9th February, 2020
Timu Ya Kenya Ambayo Itashiriki Mashindano Ya Kushiriki Olimpiki Jijini Dakar Senegal Imesema Kwamba Wako Tayari Kuandikisha Matokeo Mazuri Na Kujikatia Tiketi Ya Olimpiki. Mabondia Hao Ambao Wamo Kambini Mjini Nanyuki Pia Wameelezea Kuridhishwa Kwao Na Jinsi Matayarisho Yao Yalivyo.