Mtaani Shauri Moyo bwana mmoja kwa jina Julius Okoth aliitundika Bendera ya Chama Cha KANU
9th February, 2020
Katika Hali Ya Kuonesha Mapenzi Kwa Hayati Mzee Moi, Mtaani Shauri Moyo Bwana Mmoja Kwa Jina Julius Okoth Aliitundika Bendera Ya Chama Cha Kanu Anayodai Kuitoa Mafichoni Pindi Aliposikia Habari Za Kifo Cha Moi.