25th January, 2020
Viongozi wa mrengo wa tanga tanga eneo la magharibi wamezuiwa kuingia katika kiwanda cha Nzoia kabla ya kuzuru kile cha Mumias na kuwa na mkutano ugani Bomani Mumias wakilalamikia jinsi rais Uhuru Kenyatta amemtenga naibu wake na uchumi wa magharibi.