25th January, 2020
Tukiwa bado katika kampeni ya BBI naibu rais William Ruto amewataka waandalizi wa BBI kuwahusisha viongozi wengine katika mipango yao. Akizungumza katika eneo bunge la Cherangany Ruto amesema kuwa kuna baadhi ya viongozi wanaowazuia wenzao kujihusisha na shughuli ya BBI.