×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

WASHUKIWA WA UGAIDI: Maafisa wa ATPU wanawazuia washukiwa 5 baada ya kuwakamata mjini Nairobi

19th January, 2020

Watu Watano Wanazuiliwa Na Mafisa Wa  Kitengo Cha Kupambana Na Ugaidi Yaani Atpu, Huku Polisi Wakisema Wanawahoji Watano Hao Kubaini Iwapo Wana Uhusiano Wowote Na Kundi La Kigaidi. Kupitia Mkurugenzi Mkuu Wa Kitengo Hicho John Gachomo, Ni Kuwa Uchunguzi Wa Polisi Unaendelea Kwa Washukiwa Hao Waliokamatwa Mtaani Pangani Nairobi Kabla Kuwafikisha Mahakamani. 

.
RELATED VIDEOS