.
18th January, 2020
Mbunge wa Embakasi mashariki Babu Owino bado anazuiliwa na polisi korokoni. Polisi walifanya upekuzi katika nyumba yake hii leo na anatarajiwa kupelekwa mahakamani jumatatu kwa madai ya kumpiga risasi bwana mmoja katika chumba cha burudani