×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kiongozi wa kanisa la Kianglikana Ole Sapit asema jopokazi la BBI halifai kuongezewa mda

16th December, 2019

Kiongozi wa kanisa la Kiangilikana nchini askofu Jackson Ole Sapit amemtaka rais Uhuru Kenyatta kufikiria upya kuhusu atua ya kuongeza kipindi kwa jopokoza la utangamano wa kitaifa BBI. Sapit amesema yaliyomo katika BBI yanatakiwa kuzingatiwa ila haoni sababu ya kutoa muda zaidi kwa jopokazi hilo kuwa afisini. 

.
RELATED VIDEOS