×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakazi wa Kariobangi wanahofia mkurupuko wa maradhi baada ya bomba la kupitisha uchafu kupasuka

4th December, 2019

Wakazi wa mtaa wa Kariobangi jijini Nairobi wanahofia mkurupuko wa maradhi kutokana na kupasuka kwa bomba la kupitisha uchafu ambao sasa unaingia majumbani mwao. Jitihada zao kuwapata wasimamizi wa kaunti hazijafua dafu na anavyoarifu saada hassan , hali kwa sasa si ya kuridhisha.

.
RELATED VIDEOS