x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mashahidi watatu watambuliwa katika kesi ya kifo cha mwanahabari Eric Oloo

25, Nov 2019

Sabina Kerubo, Inspekta wa Polisi katika Kituo cha Polisi cha Ugunja na ambaye mwanahabari Eric Oloo alipatikana ameaga ndani ya nyumba yake wiki jana, sasa atakuwa shahidi katika mauaji ya mwanahabari huyo.  Kerubo, binti yake na msaidizi wa nyumbani awali walikuwa washukiwa. Kevin Ogutu anavyotuarifu, ni mandugu wawili ambao wamesalia kama washukiwa na ambao watafikishwa mahakamani desemba tarehe kumi, baada ya ombi la mashtaka.

Feedback