9th November, 2019
Serikali Imeendelea Kusambaza Chakula Cha Msaada Kwa Jamii Zilizoathirika Na Mafuriko Maeneo Ya Kaskazini Mashariki Mwa Nchi. Waziri Wa Ugatuzi Eugine Wamalwa Akishirikiana Na Gavana Wa Wajir Mohamed Abdi Waliongoza Shughuli Hio Katika Maeneo Ya Eldas, Basir, Lakoley Na Bagala. Kaunti Za Wajir, Mandera Na Tana River Zimeathirika Na Mafuriko Hayo Ambayo Yamewaua Watu Saba Kufikia Sasa Na Kuwaacha Maelfu Bila Makao.