Mihadarati yenye dhamana ya 500,000 yaharibiwa Nairobi
6th November, 2019
Idara ya upelezi ikishirikiana na wizara ya usalama wa taifa imeongoza shughuli ya kuteketeza dawa za kulevya zenye thamani ya zaidi ya shilingi nusu bilioni hii leo katika makao makuu ya upelelezi DCI.