Kuna njia mbadala ya kutembea baada ya ajali mbaya | TEKNOHAMA
30th April, 2019
Kila mtu hutamani kuwa na harusi inayofana na ya kupendeza. Wengine hata huwaza jinsi watakavyotembea ili kufunga pingu za maisha na mpenziwe. Lakini, itakuwaje iwapo ajali mbaya itakupokonya uwezo wa kutembea?