×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Baraza la Mawaziri wa EAC wafanya mkutano Rwanda

6th April, 2019

Baraza la mawaziri wa jumuiya ya afrika mashariki lilifanya mkutano wake wa 30 mjini kigali rwanda kujadili matatizo yanayokumba jumuiya. Kati ya mambo yaliyojadiliwa kwenye mkutano huo kulingana na mwanahabari wetu wa Rwanda adrian kowi ni pamoja na kukosa hamasa kwa wananchi, ukiritimba katika kufanya maamuzi na kutowahusisha washikadau katika kufanya maamuzi muhimu kati ya mambo mengine.

.
RELATED VIDEOS