.
2nd April, 2019
Kila siku maelfu ya wakenya hasa mijini wanafurika kwenye mikahawa ya kuuza vibanzi,kwenye makala ya bongo la biashara hivi leo tunamuangazia Catherine Nyokabi aliyeanza biashara ya kuchonga viazi na kuvikatakata kama vibanzi kisha anauza vikiwa havijakaangwa.